Taa Solar 1000w Zinapendwa Na Watanzania Kwa Ubora Wake - Kinondoni - by Kimago S. - 1

Price Analysis Great Deal

Based on 644 similar listings

Similar items: TSh 7K - TSh 200.0M

Based on 644 similar listings

Negotiation Tips

Price is below market average

Suggested offer: TSh 120K

Market Demand

Low Demand

Low demand - may take longer to sell

Market Timing

Similar items sell in ~9 days

Low demand - may take longer to sell

Details

Type
Solar Lights
Brand
Alltop
Condition
Brand New

Description

Site yako itakuwa giza hadi lini Nisawa unatumia umeme luku lakini nikulezi swali?. Eneo la nyumba yako au hotel yako huo umeme unapo katika Iyo sehemu inaonekana vipi? Nisawa unalipia pili ya umene lakini uoni kama eneo lako kubwa sana unaingia Gharama kubwa kulipia bili Ninacho taka kukwambia ni kwamba kwaakili zangu timamu nimeona icho kitu hapo juu ulicho kiona basi kisikupite. Hio ni taa ya solar ( street light 1000w) hio taa ndio safi na salama kwa eneo lako la nyumbani, shule, hotel, shamba,site, oil station,. Faida ya kutumia hio taa: utapata faida ya mwanga mkali usiku kucha kujizima asubuh Aitaji waya wowote wala kuita tanesco ni kufunga tu ukutani au kwenye pole ndefu Hii taa nakuomba usikose agiza idadi yoyote utapata. Warranty ni mwaka 1 Delivery tunafanya Tupo Morroco Dar es salaam Karibu.