Chakula cha Kunenepesha Mbuzi (Pellets) 50kg - 1
1 / 5

Maelezo Zaidi

Type
Feeds

Maelezo

• Chakula maalum cha pellets kwa ajili ya kunenepesha mbuzi wa nyama, mfuko wa 50kg • Imetengenezwa kusaidia mbuzi kuongeza uzito haraka na kuwa na nyama bora • Kwa mfumo wa punje (pellets) hupunguza upotevu wa chakula • Ina virutubisho vyote muhimu kwa ajili ya kunenepesha mbuzi • Imeundwa kusaidia mbuzi kufikia uzito mkubwa sokoni • Uuzaji unaanzia mifuko mitano • Inapatikana Mbezi Beach Jogoo, Dar es Salaam

Zaidi katika Kinondoni