
Price Analysis Fair Price
Based on 644 similar listings
Similar items: TSh 7K - TSh 200.0M
Based on 644 similar listings
Market Demand
Low demand - may take longer to sell
Market Timing
Similar items sell in ~9 days
Low demand - may take longer to sell
Details
- Type
- Solar Lights
- Condition
- Brand New
Description
6000 watts streetlights available hii ni taa kubwa sana na yenye mwanga mkali sana ni kati ya taa toleo jipya la 2024. taa ina 6000 watts na ni kubwa sana. sifa zake ni; masaa ya kazi ni inawaka usiku mzima bila ya kuzima inawaka mwanga mkali licha ya hali ya hewa haingii maji wala vumbi inakuja na remote yake inakuja na screw zake za kufunga ukutani giza likiingia inawaka yenyewe na asubuhi pakikucha inajizima yenyewe(intelligent light control) inakuja na bomba yake complete ya kufungia ukutani zina mwanga mkali sana warranty ya miaka 2 ni taa iliyoungana na panel yake complete zinafaa kwa matumizi ya: nyumbani, viwandani, mashuleni,viwanja, shamba, godown,sehemu ya parking,garden na kumbi. karibu wateja