
Price Analysis Above Market
Based on 643 similar listings
Similar items: TSh 7K - TSh 200.0M
Based on 643 similar listings
Negotiation Tips
Price is significantly above market
Suggested offer: TSh 330K
Potential discount up to 80%
Market Demand
Low demand - may take longer to sell
Market Timing
Similar items sell in ~9 days
Low demand - may take longer to sell
Details
- Type
- Solar Energy Systems
- Condition
- Brand New
Description
Solar Power System 500W ni suluhisho bora kwa matumizi ya nyumbani, inayokupa umeme wa uhakika kwa vifaa vyako vya msingi. Imeundwa kwa teknolojia ya kisasa yenye DC Input ya 12.8V, AC Output ya 500W (220V, 50Hz) na MPPT solar charge 12.8V 30A, kuhakikisha ufanisi wa hali ya juu. Inatumika kuendesha: TV (1x) – Furahia burudani bila kukatizwa Feni (2x) – Pata upepo mwanana wakati wote Taa (10x) – Mwangaza wa kutosha kwa nyumba yako Kompyuta (2x) – Fanya kazi kwa ufanisi popote ulipo Chaja za simu (10x) – Simu zako ziwe na chaji muda wote Ina betri ya ndani ya 12.8V/50Ah, ambayo hukupa uhuru wa kutumia umeme hata usiku au wakati wa mawingu.