Oraimo Freepods - 1
1 / 2

Price Analysis Good Price

Based on 599 similar listings

Similar items: TSh 5K - TSh 1.5M

Based on 599 similar listings

Market Demand

Low Demand

Low demand - may take longer to sell

Market Timing

Similar items sell in ~9 days

Low demand - may take longer to sell

Details

Type
In-Ear
Brand
Oraimo
Colour
Black
Condition
Brand New
Form Factor
Ear-hook
Connectivity
Wireless
Connecting Interface
Bluetooth

Description

Oraimo free pods 3 earpods pendwa zaidi kwa mwaka 2022 , zenye watumiaji zaidi ya million 100 ulimwenguni , na zinatumiwa zaidi ya nchi 50 sifa kuu super bass (bezi ) , wengi wanazipenda kutokana na muziki wake kuwa na ubora , na bezi sana . charge zinatunza charge kwa jumla ya masaa 36 ( sio lugha ya kibiashara , ni ukweli .) uimara ni imara sana , sio rahisi kuharibika , imepelekea kupendwa na wengi . touch control next /prev music pause music answer/ end call environmental noise cancellation hii itakusaidia , kuwasiliana na mtu vizuri sana kupitia earpods zako , hata kama upo sehemu yenye makelele . open and connect instantly inaconnect na simu kwa uharaka sana 4 -mic beam forming technology inanasa sauti kutoka mdomoni unapoongea na mtu , kukufanya usikike vizuri sana . delivery services ni mikoa yote