
Price Analysis Fair Price
Based on 132 similar listings
Similar items: TSh 2.5M - TSh 7504.0M
Based on 132 similar listings
Market Demand
Low demand - may take longer to sell
Market Timing
Similar items sell in ~9 days
Low demand - may take longer to sell
Details
- Type
- Commercial Land
- Facilities
- Water Supply
- Property Use
- Commercial
- Type of Purchase
- Outright Price
Description
Eneo kubwa na zuri linaloangalia barabara kuu linauzwa eneo hili lina sifa zifuatazo #linafaa kujenga shelli kubwa #linafaa kuweka yard #linafaa kwa kujenga apartment #linafaa kujenga frame biashara na apartment za kisasa eneo hili limepimwa na document zote zipo bado kupata hati tuu # lina ukubwa wa sqm 2050 bei ya mauzo ni milioni 500 za kitanzania ila maongezi yapo ndugu mteja eneo hili lipo kimara suka upande wa kushoto kama unaenda mbezi njia ambayo itawekwa lami mpya muda si mrefu # kutoka morogoro road hadi kwenye eneo ni dk 10 tuu kwa miguu