Emergency Light Inawaka Bila Umeme Kwa Masaa - Kinondoni - by Kimago S. - 1

Price Analysis Great Deal

Based on 82 similar listings

Similar items: TSh 13K - TSh 390K

Based on 82 similar listings

Negotiation Tips

Price is below market average

Suggested offer: TSh 30K

Market Demand

Low Demand

Low demand - may take longer to sell

Market Timing

Similar items sell in ~9 days

Low demand - may take longer to sell

Details

Type
Night Lights
Condition
Brand New

Description

Taa ya kisasa ya rechargeable (inayochajiwa) yenye battery ya 2500mAh. Inafaa kwa matumizi ya ndani ya nyumba, dukani, kusomea au kama taa ya usiku wakati umeme umekatika. Ina mwangaza mzuri wa 10W na inaweza kudumu hadi masaa 13 bila kuchajiwa tena. Ina sehemu ya kuweka simu (landscape mode), kisanduku cha kuweka penseli au kalamu, na inawashwa kwa kugusa (touch sensor). Inakuja na chaja na waya wake wa USB Type-C. Kichwa cha taa kinazunguka kulingana na mwelekeo wa mwanga unaotaka. Sifa: Rechargeable – 2500mAh battery Inadumu masaa 2–13 Mwangaza 10W – LED kali Ina night mode Touch sensor – kuwasha/kuzima kwa kugusa USB Type-C + chaja yake Inafaa nyumbani, dukani, ofisini Ndani ya boksi: Taa ×1 | USB cable ×1 | Chaja