Door Alarm for Home Security - 1
1 / 8

Price Analysis Good Price

Based on 916 similar listings

Similar items: TSh 5K - TSh 1.7M

Based on 916 similar listings

Market Demand

Low Demand

Low demand - may take longer to sell

Market Timing

Similar items sell in ~9 days

Low demand - may take longer to sell

Details

Type
Other
Brand
At Home
Condition
Brand New

Description

Door alarm • •Hii ni alarm ya mlangoni ambapo pia ni kitu utachoweza kutumia kuzuia mlango usifunguliwe (ikawa kama lock ya mlango) •Itatoa mlio mkubwa endapo mtu akijaribu kufungua mlango na pia mlango huo utakuwa haufunguki hivo kufanya jambo la kuingia ndani kuwa gumu kwa mtu huyo. •Inafaa zaidi kwa watu wanaoishi peke yao au watu wanaopenda kusafiri kwani usalama utaongezeka zaidi kupitia kifaa hiki chenye mlio mkubwa wa alarm •Kwa wanawake wanaoishi peke yao hii ni muhimu sana sana sana jihakikishie usalama wako ulale kwa amani •Unaweza ukaweka chumbani, sebuleni, jikoni, sehemu yeyote ile. •Ni rahisi kutumia na haihitaji ufundi •One Year Warranty