
Price Analysis Fair Price
Based on 155 similar listings
Similar items: TSh 10K - TSh 32.7M
Based on 155 similar listings
Market Demand
Low demand - may take longer to sell
Market Timing
Similar items sell in ~9 days
Low demand - may take longer to sell
Details
- Type
- CCTV Camera
- Brand
- PTZ
- Condition
- Brand New
- Connectivity
- Wireless
- Camera Features
- Adjustable Zoom
Description
Kamera hii ya kisasa ya solar haina haja ya umeme wala WiFi — inafanya kazi popote kupitia laini ya simu (4G SIM Card). Ina lenzi 4 zenye ubora wa 20MP, inarekodi picha na video zenye mwanga wa juu mchana na usiku. Kamera hii ina sauti pande zote mbili (unaweza kusikia na kuongea), mfumo wa alarm, na sensor ya kugundua harakati kwa usalama wa saa 24. Ni kamera ya hali ya juu yenye uwezo wa kuhifadhi video kwenye kadi ya memori hadi 128GB au Cloud. Imejengwa kwa kiwango cha IP66, haina shida na mvua wala jua. Inafaa kwa nyumba, duka, shamba, ofisi, gereji au eneo lolote unalotaka kulinda. Model: X29N Bei ya ofa: TSh 249,999 Piga simu sasa: Tunafanya delivery Dar na mikoani kote Tanzania.