
Price Analysis Great Deal
Based on 155 similar listings
Similar items: TSh 10K - TSh 32.7M
Based on 155 similar listings
Negotiation Tips
Price is below market average
Suggested offer: TSh 120K
Market Demand
Low demand - may take longer to sell
Market Timing
Similar items sell in ~9 days
Low demand - may take longer to sell
Details
- Type
- CCTV Camera
- Brand
- Hikvision
- Usage
- Indoor/Outdoor
- Condition
- Brand New
- Connectivity
- Wireless
- Camera Features
- Motion Detection
- Camera Form Factor
- Other
Description
Bulb Wireless Camera • •Kwanini uibiwe au ukose amani kwa uliyemuachia mtoto wako au mali zako ? •Njia bora yakujua anaeingia na kutoka katika sehem yako pamoja na kusikia wanayoongea •Inafaa kwa matumizi ya Nyumbani, Shambani, dukani , ofisini , Godown warehouse, Shuleni •Ni bulb kabisa unauwezo wakuwasha taa kama bulb ya kawaida •Full High Definition HD clear video •Unauwezo wakuconnect na simu na ukaangalia matukio yote kupitia simu yako ya mkononi •Unaweza ukageuza kwenye angle zote 360 unazohtaji wewe kuona, mzunguko huo utacontrol kupitia app na kuona kila angle •Two way audio , ina mic na speaker yakuwasiliana pande zote mbili unaeza ukaongea nao kwa simu kupitia camera hiyo •Inaona mpaka usiku clear kabisa •Unaweza ukaweka memorycard na kukurekodia matukio yote •Motion sensor setting, detective •Rahisi kutumika na unaweka sehemu yeyote ile kama bulb ya mwanga •Unaweza kuconnect kwenye simu zaidi ya moja •One Year Warranty ikisumbua