
Price Analysis Fair Price
Based on 1701 similar listings
Similar items: TSh 70K - TSh 1500.0M
Based on 1701 similar listings
Market Demand
Low demand - may take longer to sell
Market Timing
Similar items sell in ~9 days
Low demand - may take longer to sell
Details
- Period
- per month
- Toilets
- 5
- Bedrooms
- 5
- Bathrooms
- 4
- Condition
- Newly Built
- Facilities
- 24 Hours Electricity
- Furnishing
- Unfurnished
- Listing by
- Agent
- Property Type
- Bungalow
Description
Nyumba kubwa ya familia inayojitegemea yenyewe kwenye fensi na eneo kubwa la kufugia inapangishwa bei ni 1,000,000/= x 6 nyumba hii ina sifa zifuatazo #vyumba 5 vya kulala kati ya hivyo vyumba 2 ni master bedroom kubwa #sebule kubwa #dinning #jiko kubwa la kisasa yapo mawili la ndani na nje #public toilet #air-condition #parking bei ni 1,000,000/= x 6 milioni moja kwa mwezi malipo ya miezi 6 tuu nyumba hii kubwa ya kisasa ya familia inayojitegemea yenyewe kwenye fensi ipo mbezi kwa msuguri upande wa kushoto kama unaenda mbezi kutoka morogoro road hadi kwenye nyumba ni dk 20 tuu kwa miguu na njia ni lami tupu hadi kwenye nyumba usafiri ni bajaji au bodaboda na ukishuka tuu kwenye bajaji unapiga teke mlango kuoneshwa nyumba hii garama yake ni elfu 20 na ukiipenda nyumba hii utalipia pesa ya udalali kodi ya mwezi mmoja