4bdrm House in Chamaz Mzambaraun, Temeke for Sale - 1
1 / 7

Price Analysis Good Price

Based on 1221 similar listings

Similar items: TSh 6.0M - TSh 9100.0M

Based on 1221 similar listings

Market Demand

Low Demand

Low demand - may take longer to sell

Market Timing

Similar items sell in ~9 days

Low demand - may take longer to sell

Details

Bedrooms
4
Bathrooms
3
Condition
Fairly Used
Furnishing
Unfurnished
Parking Space
Yes
Property Type
House

Description

Hii si ya kuikosa kabisa mdau wangu ipo mbagala chamanz mzambalauni la dsm wilaya ya temeke ina uzwa eneo square meter 800 ina document ya mauziano ya office ya serikali ya mtaa vyumba vinne vya kulala vyumba viwili ni master bedroom ina sitting room na daining room na jiko na store ina public toilet pamoja na maji na umeme kutoka bara bara kuu ya rami kuja kwenye hii nyumba ni dakika 3 tu ukitaji kuiyona nipigie cm au nichek whatsapp