
Price Analysis Good Price
Based on 1037 similar listings
Similar items: TSh 80K - TSh 110.0M
Based on 1037 similar listings
Market Demand
Low demand - may take longer to sell
Market Timing
Similar items sell in ~9 days
Low demand - may take longer to sell
Details
- Period
- per month
- Subtype
- Detached
- Bedrooms
- 4
- Bathrooms
- 2
- Condition
- Fairly Used
- Facilities
- 24 Hours Electricity
- Furnishing
- Unfurnished
- Property Type
- Bungalow
Description
Nyumba kubwa ya familia inayojitegemea yenyewe kwenye fensi yake inapangishwa 500k x 6 # ilipwe laki 5 kwa mwezi malipo ya miezi 6 nyumba hii ina sifa zifuatazo #vyumba 4 vya kulala kati ya hivyo vyumba 2 ni master bedroom kubwa sana #sebule kubwa #dining #jiko kubwa sana #store #garage ya kupaki gari #parking kubwa yenye eneo kubwa #garden #public toilet zipo 2 #nyumba hii ipo jirani na barabara bei ni 500k x 6 ilipwe laki 5 kwa mwezi malipo ya miezi 6 tuu nyumba hii kubwa ya familia inayojitegemea yenyewe ipo mbezi mwisho jirani kabisa na kituo kikuu cha mabasi yaendayo mkoani (mbezi magufuli bus terminal) na kutoka morogoro road hadi kwenye nyumba ni dk 3 tuu kwa miguu