
Price Analysis Good Price
Based on 1221 similar listings
Similar items: TSh 6.0M - TSh 9100.0M
Based on 1221 similar listings
Market Demand
Low demand - may take longer to sell
Market Timing
Similar items sell in ~9 days
Low demand - may take longer to sell
Details
- Toilets
- 1
- Bedrooms
- 3
- Bathrooms
- 2
- Condition
- Fairly Used
- Furnishing
- Unfurnished
- Listing by
- Agent
- Property Type
- House
Description
Under ground juu na chini) inauzwa milioni 90 (tabata kinyerezi) punguzo punguzo hii ni ofa kubwa ndugu mteja inauzwa nyumba hii milioni 90 (90,000,000/= ) nyumba nzuri kubwa ya(under ground )familia inauzwa ni nyumba ya kuhamia tuu na ipo sehemu nzuri sana bei mseleleko kabisa (90,000,000/= tsh) million 90 na gari linafika hadi mlangoni nyumba hii ina sifa zifuatazo #vyumba 3 vikubwa vya kulala kimojawapo ni master #sebule kubwa #jiko kubwa #maji dawasa yapo ya kutosha #parking #ipo ndani ya fensi #nyumba ya kuhamia tuu na kuongezea urembo wako binafsi pia kuna chumba master na sebule na jiko chini nyumba hii kubwa sana tena sana bei ni 90,000,000/= tsh ukubwa wa eneo ni 20/15 meters documents:- hati safi ya mauziano halali kutoka serikali ya mtaa