3bdrm House in Kimara Temboni, Kinondoni for sale - Kinondoni - by Prince P. - 1
1 / 10

Price Analysis Good Price

Based on 1221 similar listings

Similar items: TSh 6.0M - TSh 9100.0M

Based on 1221 similar listings

Market Demand

Low Demand

Low demand - may take longer to sell

Market Timing

Similar items sell in ~9 days

Low demand - may take longer to sell

Details

Toilets
1
Bedrooms
3
Bathrooms
2
Condition
Fairly Used
Furnishing
Unfurnished
Listing by
Agent
Property Type
House

Description

Nyumba kubwa ya familia yenye eneo kubwa inauzwa pamoja na fremu zake zipo 5 kubwa nyumba hii kubwa ina sifa zifuatazo #vyumba 3 vikubwa vya kulala kimojawapo ni master bedroom kubwa sana #sebule kubwa sana #dining #jiko kubwa #store #public toilet #maji dawasa yapo pia kuna servant coter ya vyumba 2 na sebule na jiko document:- hati safi ya mauziano kutoka serikali ya mtaa (full documents) ukubwa wa eneo ni :- urefu ni meters 40 na upana ni meters 30 bei ni milioni 120 maongezi yapo nyumba hii ipo kimara temboni upande wa kushoto kama unaenda mbezi kutoka morogoro road hadi kwenye nyumba ni km 1 usafiri ni bodaboda sh elfu 1 kuoneshwa nyumba hii ndugu mteja garama yake garama yake ni elfu 30