
Price Analysis Good Price
Based on 1037 similar listings
Similar items: TSh 80K - TSh 110.0M
Based on 1037 similar listings
Market Demand
Low demand - may take longer to sell
Market Timing
Similar items sell in ~9 days
Low demand - may take longer to sell
Details
- Period
- per month
- Toilets
- 2
- Bedrooms
- 3
- Bathrooms
- 2
- Condition
- Fairly Used
- Facilities
- 24 Hours Electricity
- Furnishing
- Unfurnished
- Listing by
- Agent
- Property Type
- Bungalow
Description
Nyumba kubwa ya familia ya kisasa inapangishwa na zipo mbili tuu kwenye fensi moja na hii moja kubwa ndio inapangishwa bei ni 400,000/= x 6 apartment hii ina sifa zifuatazo #vyumba 3 vikubwa sana vya kulala kimojawapo ni master bedroom kubwa sana #sebule kubwa sana #dining #jiko kubwa linawekwa makabati #public toilet #garden #parking #zipo apartment 2 tuu kwenye fensi moja na hii moja kubwa ndio inapangishwa na kwa nyuma kuna servant corter ambayo tayari inampangaji bei ni 400,000/= x 6 ilipwe laki 4 kwa mwezi malipo ya miezi 6 tuu apartment hii ipo kimara temboni upande wa kushoto kama unaenda mbezi kutoka morogoro road hadi kwenye nyumba ni km 1 usafiri ni bodaboda sh elfu 1 tuu kuoneshwa nyumba hii garama yake ni shilingi elfu 15 na ukiipenda nyumba hii utalipia pesa ya udalali kodi ya mwezi mmoja