
Price Analysis Great Deal
Based on 1701 similar listings
Similar items: TSh 70K - TSh 1500.0M
Based on 1701 similar listings
Negotiation Tips
Price is below market average
Suggested offer: TSh 350K
Market Demand
Low demand - may take longer to sell
Market Timing
Similar items sell in ~9 days
Low demand - may take longer to sell
Details
- Pets
- No Pets
- Period
- per month
- Bedrooms
- 1
- Bathrooms
- 1
- Condition
- Newly Built
- Facilities
- Dishwasher
- Furnishing
- Unfurnished
- Property Type
- Duplex
Description
Apartment nzuri kubwa ya kisasa inapangishwa apartment hii ina sifa zifuatazo #chumba master bedroom kikubwa sana #sebule kubwa sana tena sana #jiko kubwa #public toilet #luku na mita ya maji dawasa inajitegemea !!zipo apartment 2 tuu kwenye fensi moja na hii moja ndio inapangishwa #kila apartment inajitegemea kwa kila kitu #parking kubwa ya kutosha ilipwe laki 3 na nusu kwa mwezi malipo ya miezi 6 (malipo ya miezi yanaongeleka,, lakini sio kupunguza bei ya nyumba apartment hii ipo kimara temboni upande wa kushoto kama unaenda mbezi kutoka morogoro road hadi kwenye nyumba ni km 1 usafiri ni bajaji sh 500 na ukishuka tuu kwenye bajaji unapiga teke mlango njia ya gari ni rafiki kwa aina zote za magari hadi kwenye nyumba apartment hii itakua wazi kuanzia tarehe 30/12/2022 kuona na kulipia ni ruksa kabisa