
Maelezo Zaidi
- Type
- Collagen Supplements
- Brand
- Vital Proteins
- Flavor
- Unflavored
- Gender
- Female
- Package
- Bottle
- Features
- Organic
- Age Group
- Adult
- Formulation
- Powder
- When to Take
- Before Meal
- Active Ingredients
- Vitamin C (Ascorbic Acid)
Maelezo
!!ZIPO DUKANI !!Vital Proteins Collagen Peptides Unflavoured 567gInasaidia uwe na ngozi nzuri ile glow ya kizunguInasaidia wale wenye matatizo ya joints.Inasaidia wale wenye kucha dhaifu... yani unataman kufuga kucha ila kucha ikifika urefu fulani inatatika... sasa hii product itakupa kuchwa imara pia itasaidia kucha zako zikue vizuri,zenye afya na za kupendezaInasaidia kufanya uwe na nywele yenye afya... nywele ndufuu hata kama una nywele fupi ambazo hazikui utaona zitakavyoanza kukua vizur na zikiwa na afya... kama nywele yako ina katabia ka kupukutika hii collagen peptide itakusaidia nywele itakuwa haikatiki... itakuwa na afya safiiiUzuri wa hii product sasa... unaweza kuitumia kwenye smoothie yako... kwenye chai... kwenye juice... kahawa au hata maji tu... unamix kwenye vimiminika vya baridi au moto.