
Uchambuzi wa Bei Bei Nzuri Sana
Kulingana na matangazo 644 yanayofanana
Bidhaa zinazofanana: TSh 7K - TSh 200.0M
Kulingana na matangazo 644 yanayofanana
Vidokezo vya Mazungumzo
Bei iko chini ya soko
Ofa inayopendekezwa: TSh 45K
Mahitaji ya Soko
Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza
Muda wa Soko
Bidhaa zinazofanana zinauzwa ndani ya ~9 siku
Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza
Maelezo Zaidi
- Type
- Solar Lights
- Brand
- Alltop
- Condition
- Brand New
Maelezo
Taa hii ya Solar Garden RGB ni ya kisasa yenye rangi 7 zinazobadilika, ikitumia rimoti kudhibiti mwanga, mda wa kuwaka (2h–8h), na aina ya mwanga (nyeupe, ya joto, au ya mchanganyiko). Ina uwezo wa kuangaza hadi masaa 8–10 baada ya kuchaji kwa masaa 6–8 kwa miale ya jua. Inafaa sana kwa fensi, geti, bustani, njia za nyumbani na mapambo ya kando ya nyumba. Inatumia betri imara ya LiFePO4 3.7V Imara kwa mvua na jua (IP65 Waterproof) Imetengenezwa kwa plastiki ngumu (ABS + PC) Mwanga mkali: 160 lumens kwa watt Inapendezesha mandhari na kuongeza usalama Bei ni TSh 45,000 Tunatuma mikoa yote Tanzania Kwa wakazi wa Dar, tunafanya delivery kwa gharama ya mteja Wasiliana nasi kwa: 0710636131