
Uchambuzi wa Bei Bei Nzuri
Kulingana na matangazo 644 yanayofanana
Bidhaa zinazofanana: TSh 7K - TSh 200.0M
Kulingana na matangazo 644 yanayofanana
Mahitaji ya Soko
Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza
Muda wa Soko
Bidhaa zinazofanana zinauzwa ndani ya ~9 siku
Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza
Maelezo Zaidi
- Type
- Solar Lights
- Brand
- Alltop
- Condition
- Brand New
Maelezo
Usiwe Giza Tena! Mwangaza Mkali wa Solar 3000W Taa hii ya kisasa ya Solar 3000W inaleta mwangaza wa uhakika bila bili ya umeme! Vipengele Muhimu: Mwanga Mkali Sana (300 LEDs) – 6000K baridi na kali Betri Kali ya LiFePO4 18Ah – inadumu masaa 12–15 Sensor ya Mwendo & Timer – huwaka inapohitajika Inachaji kwa masaa 6–8 tu kwa paneli ya 25W Muundo wa ABS Imara haishiki kutu, inadumu Urefu wa Kufunga: 8–10m – inafaa kwa maeneo ya nje Warranty: Mwaka 1 tunahakikisha ubora Inafaa kwa: Barabara, mashamba, nyumba, mageti, viwanja, parking na maeneo ya biashara. Nunua leo upate mwanga bila malipo ya umeme. Hakuna wiring, hakuna usumbufu!