
Uchambuzi wa Bei Bei Nzuri
Kulingana na matangazo 644 yanayofanana
Bidhaa zinazofanana: TSh 7K - TSh 200.0M
Kulingana na matangazo 644 yanayofanana
Mahitaji ya Soko
Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza
Muda wa Soko
Bidhaa zinazofanana zinauzwa ndani ya ~9 siku
Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza
Maelezo Zaidi
- Type
- Solar Lights
- Condition
- Brand New
Maelezo
Unapokuwa na nyumba yako alafu ikakosa mwanga wa taa nje ni hatari sana lakini ni vizuri kutumia Taa ya Solar ambayo kipindi cha usiku unapata mwanga wa kutusha kabisa Hii taa hapo ni 800w inawaka vizuri sana na bei ya ni sawa na bure na ukichukua nyingi unapata offa ya punguzo la bei Taa inajichaji kwa masaa 12 nakuwaka kwa masaa 12 inawaka nyenyewe na kijizima yenyewe Ukiwa Kama mteja wangu unapata na warranty ya mwaka 1 ivyo usiogope kwamba atubadilishi hapana Tatizo lolote likitokea tunawasiliana kisha tunafanya mpango wa usafiri basi taa inachukuliwa kwa ukaguzi baada ya siku tatu unapata taa mpya Ivyo ndivyo tunavyo fanya na hii taa aingii maji kabisa kabisa Karibu boss