T500+ Smartwatch - 1
1 / 2

Uchambuzi wa Bei Bei Nzuri Sana

Kulingana na matangazo 396 yanayofanana

Bidhaa zinazofanana: TSh 18K - TSh 8.5M

Kulingana na matangazo 396 yanayofanana

Vidokezo vya Mazungumzo

Bei iko chini ya soko

Ofa inayopendekezwa: TSh 70K

Mahitaji ya Soko

Mahitaji Madogo

Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza

Muda wa Soko

Bidhaa zinazofanana zinauzwa ndani ya ~9 siku

Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza

Maelezo Zaidi

Type
Smart Watches
Brand
Ticwatch
Condition
Brand New
Band Colour
Black
Band Material
Rubber

Maelezo

Kazi yake: Unaweza kuweka.password kwenye saa yako. Ina games ndani yake ambayo unaweza kucheza. Full screen hd (infinity screen) Inakubali kwa android na iOS(iphone's). Unaweza kuongelea na sim kupitia kwenye hiyo saa yako. Unaweza ku play music na ukaskia kwenye saa yako. Bluetooth call(Unaweza kuongelea na simu kwa kupitia kwenye saa yako pamoja na kupiga na kupokelea). Phone book or contact(Unaona contact zako zote za kwenye simu ukisha connect baina saa yako na simu yako). All app notifications (Unapokea message zako zote kama za WhatsApp, Instagram, Facebook, tweeter etc). Unaweza kubadilisha mikanda. Wallpaper change(Unaweza kueka picha yako binafsi kama wallpaper kwenye screen ya saa yako). Pedometer or steps count sleep monitor. Fitness tracker. Heart rate monitor. Blood pressure measure. Body temperature measure. Sedentary reminder. Anti_lost function. Alarm and stopwatch. Gesture detection.