
Uchambuzi wa Bei Bei Nzuri
Kulingana na matangazo 644 yanayofanana
Bidhaa zinazofanana: TSh 7K - TSh 200.0M
Kulingana na matangazo 644 yanayofanana
Mahitaji ya Soko
Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza
Muda wa Soko
Bidhaa zinazofanana zinauzwa ndani ya ~9 siku
Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza
Maelezo Zaidi
- Type
- Solar Lights
- Brand
- Alltop
- Condition
- Brand New
Maelezo
Taa ya hapo juu ni solar ambayo ni 300w chuma kubwa ni juu yako ila mimi upata chuma ndogo yani mkono wake na nati zake za kufungia rimont pia utapata.Taa inawaka pale endapo giza limeingia na kujizima pale ambapo giza limeondoka na pia mtu akipita taa ujiongeza mwanga Ni 300w fanya kuwahi ujipatie taa zako Zinafaa nyumbani, ofisini, shule, viwanja vya michezo nk SIFA ZAKE: Remote control/Button control Switch on/off Water proof Sensor receptor Radar induction Charging times 6-8hrs Working time 10- 12hrs Watt 300 Warranty 2yr