Solar Floodlight Project 1500w Zipo Leo - Kinondoni - by Kimago S. - 1

Uchambuzi wa Bei Bei Nzuri

Kulingana na matangazo 644 yanayofanana

Bidhaa zinazofanana: TSh 7K - TSh 200.0M

Kulingana na matangazo 644 yanayofanana

Mahitaji ya Soko

Mahitaji Madogo

Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza

Muda wa Soko

Bidhaa zinazofanana zinauzwa ndani ya ~9 siku

Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza

Maelezo Zaidi

Type
Solar Lights
Condition
Brand New

Maelezo

Taa ya Solar Floodlight 1500W ni taa yenye mwanga mkali sana, inayokuja na paneli yake ya sola na betri ya ndani ya Lithium. Inafaa kwa matumizi ya nje kama godowns, site za ujenzi, mashambani, kwenye nyumba au viwandani. Inajiwasha na kuzima yenyewe usiku na mchana Inatoa mwanga mkali sana kufunika eneo kubwa Ina betri ya ndani ya 18650 Lithium haichukui nafasi Inawaka masaa 14 hadi 16 bila shida methibitishwa kuwa waterproof haina shida na mvua wala jua Ina warranty mwaka 1 Ubora wake ni wa hali ya juu kabisa bei ni 299,999 tu! delivery tunafanya popote