Solar CCTV Camera Hd Lenzi 2 Kwa 189,999 Bei Ya Upendo - Kinondoni - by Kimago S. - 1

Uchambuzi wa Bei Bei Nzuri

Kulingana na matangazo 155 yanayofanana

Bidhaa zinazofanana: TSh 10K - TSh 32.7M

Kulingana na matangazo 155 yanayofanana

Mahitaji ya Soko

Mahitaji Madogo

Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza

Muda wa Soko

Bidhaa zinazofanana zinauzwa ndani ya ~9 siku

Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza

Maelezo Zaidi

Type
CCTV Camera
Brand
PTZ
Condition
Brand New
Camera Features
Adjustable Zoom

Maelezo

Inawekwa Line ya Simu, unajiunga bando kama kawaida. Ina uwezo mkubwa sana wa kuona mbali, kuzoom. Ina sehemu ya kuweka Memory Card kwa ajili ya kutunza kumbukumbu. Ina uwezo wa kuzunguka pande zote. Unaweza kuunganisha na simu yako hata kama upo mbali na unaona yanayoendelea shambani, nyumbani, kazini nk. Hahitaji umeme, inatumia solar tuu. Bei yake ni Tsh. 189,999 tu Delivery tunafanya kwa gharama za mteja Mikoani tunatuma