
Uchambuzi wa Bei Bei Nzuri Sana
Kulingana na matangazo 643 yanayofanana
Bidhaa zinazofanana: TSh 7K - TSh 200.0M
Kulingana na matangazo 643 yanayofanana
Vidokezo vya Mazungumzo
Bei iko chini ya soko
Ofa inayopendekezwa: TSh 74K
Mahitaji ya Soko
Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza
Muda wa Soko
Bidhaa zinazofanana zinauzwa ndani ya ~9 siku
Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza
Maelezo Zaidi
- Type
- Commercial Lighting
- Brand
- Other
- Subtype
- Solar Street Lights
- Condition
- Brand New
- Light Source
- LED
Maelezo
Taa ya Solar yenye Paneli ya 6V/6W (Polycrystalline Silicon) Taa bora ya kisasa yenye uwezo wa kujiwasha usiku na kuzima mchana. Inatumia betri ya Lithium Iron Phosphate (3.2V / 5AH) yenye muda mrefu wa matumizi zaidi ya mizunguko 1500 ya chaji na utumiaji. Muda wa kuchaji: Saa 4–6 Muda wa kuangaza: Saa 12–15 mfululizo Hudumu hata siku 1–2 wakati wa mawingu Ina remote control yenye teknolojia ya kisasa Urefu wa kufunga: Mita 3 Paneli bora ya 6V/6W yenye nguvu kubwa ya kuchaji Inafaa kwa matumizi ya nyumbani, biashara, shamba, banda, gereji, na hata barabarani. Imeundwa kwa vifaa imara vinavyostahimili mvua na jua. Bei: TSh 73,900 Delivery inapatikana nchi nzima Wasiliana: