Shamba La Miti at Morogoro - 1
1 / 8

Uchambuzi wa Bei Bei Nzuri

Kulingana na matangazo 8 yanayofanana

Bidhaa zinazofanana: TSh 900K - TSh 1272.8M

Kulingana na matangazo 8 yanayofanana

Mahitaji ya Soko

Mahitaji Madogo

Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza

Muda wa Soko

Bidhaa zinazofanana zinauzwa ndani ya ~9 siku

Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza

Maelezo Zaidi

Type
Farmland
Facilities
Car Parking
Property Use
Mixed
Type of Purchase
Outright Price

Maelezo

*Shamba la Miti ya Mitiki linauzwa Turiani Morogoro* -Idadi ya miti zaidi ya 1000 *(Diameter at breast height) Diameter the highest 100cm the lowest 60cm* -Plot size ni hekari 7.5 -Hati miliki ipo -Miaka ya miti: Ina umri imechanganyika mingine miaka 7, 6 na 5 *Matumizi:* Mbao za mitiki ni muhimu kwa kutengeneza boti na vivuko *Bei shilingi milioni 200 maongezi yapo*