Muhuri wa Tarehe - 1
1 / 2

Maelezo Zaidi

Company Name
Jj mihuri express

Maelezo

• Jj Mihuri Express ni wataalamu wa kutengeneza mihuri ya aina zote. • Mihuri inatengenezwa haraka na kwa ubora wa hali ya juu. • Huduma zinajumuisha mihuri ya tarehe kwa matumizi rasmi, vifungashio, au matumizi binafsi. • Tunapatikana Kariakoo, makutano ya barabara za Uhuru na Msimbazi. • Huduma ya usafirishaji inapatikana kwa wateja walioko mikoani.

Zaidi katika Ilala