
Uchambuzi wa Bei Bei Nzuri
Kulingana na matangazo 644 yanayofanana
Bidhaa zinazofanana: TSh 7K - TSh 200.0M
Kulingana na matangazo 644 yanayofanana
Mahitaji ya Soko
Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza
Muda wa Soko
Bidhaa zinazofanana zinauzwa ndani ya ~9 siku
Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza
Maelezo Zaidi
- Type
- Solar Lights
- Brand
- Alltop
- Condition
- Brand New
Maelezo
Taa hapo juu ni ya SOLAR ni IP 65. usiache eneo la nyumba yako liwe giza kwasababu ya kukatika kwa umeme. Taa ya SOLAR ya 500W ni taa kubwa yenye mwanga mkali kabisa bila wasiwasi wala shida yoyote. . Inawaka kwa saa 12 na kujichaji kwa saa 12 kama hali ya hewa aina shida ila itajaa kwa saa 16 kama endapo hali ya hewa ni mbaya yani juwa hakuna. Taa inafaa kufunga shambani, hotel,shuleni,nyumba za wageni,sheli za mafuta, garden, nk. Taa ni ulinzi wa eneo lako kuwa giza sio salama