Rotating Car Brush Set - 1
1 / 10

Uchambuzi wa Bei Bei Nzuri Sana

Kulingana na matangazo 213 yanayofanana

Bidhaa zinazofanana: TSh 7K - TSh 9.5M

Kulingana na matangazo 213 yanayofanana

Vidokezo vya Mazungumzo

Bei iko chini ya soko

Ofa inayopendekezwa: TSh 100K

Mahitaji ya Soko

Mahitaji Madogo

Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza

Muda wa Soko

Bidhaa zinazofanana zinauzwa ndani ya ~9 siku

Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza

Maelezo Zaidi

Make
Other Make
Type
Other
Model
Other Model
Condition
Brand New

Maelezo

Automatic Rotatating car Brush with foam pot • Sababu 9 za kuwa na kifaa hiki : •Unaweza kuosha Gari, Pikipiki, Kumwagilia bustani pia. •Inafaa kwa matumizi ya nyumbani Au Car wash pia •Haihitaji umeme kutumia inatumia pressure tu ya Maji ya kawaida •Inapot yakuekea sabuni iwe sabuni ya unga Au ya Maji zote na zitatumika kidogo sana •Inasave time na Maji wakati wakuosha gari •High pressure flushing •Rahisi pia kuosha roof ya gari •Built in Water Gun function unauwezo wakutoa washer ya mbele na kutumia kama bomba ya Maji kwenye bustani •Pump inapressure kubwa pia kwa wale wanaopenda kupiga gari Maji chap chap wakiwa hawana muda