Mini Flat in Ununio Beach, Kinondoni for sale - Kinondoni - by Prince P. - 1
1 / 12

Uchambuzi wa Bei Juu ya Soko

Kulingana na matangazo 1221 yanayofanana

Bidhaa zinazofanana: TSh 6.0M - TSh 9100.0M

Kulingana na matangazo 1221 yanayofanana

Vidokezo vya Mazungumzo

Bei iko juu ya soko

Ofa inayopendekezwa: TSh 120.0M

Punguzo hadi 85%

Mahitaji ya Soko

Mahitaji Madogo

Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza

Muda wa Soko

Bidhaa zinazofanana zinauzwa ndani ya ~9 siku

Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza

Maelezo Zaidi

Toilets
2
Bedrooms
5
Bathrooms
3
Condition
Fairly Used
Furnishing
Unfurnished
Listing by
Agent
Property Type
Mini Flat

Maelezo

*Nyumba ya Ghorofa 2 in 1 inauzwa Ununio* *Distance* Kutoka main road mpaka site 950 Meters *Umbali wa kwenda Baharini kwa miguu* 1 KM -Nyumba upande wa kwanza ina vyumba vitatu vya kulala, sitting room, dining room, kitchen na public toilet. -Upande mwingine una Sitting room pamoja na dining ndogo, kitchen na vyumba viwili vyote master. *Servant Quarter* Vyumba viwili vya kulala na choo. -Kuna Bwawa kubwa ya kufugia samaki zaidi 9,000, mabanda ya kuboresha kufanya ufugaji wa kuku pamoja na Kisima cha maji. -Plot size Sqm 1,500 -Document: Title Deed *Bei shilingi milioni 800 maongezi yapo*