
Uchambuzi wa Bei Bei Nzuri Sana
Kulingana na matangazo 1701 yanayofanana
Bidhaa zinazofanana: TSh 70K - TSh 1500.0M
Kulingana na matangazo 1701 yanayofanana
Vidokezo vya Mazungumzo
Bei iko chini ya soko
Ofa inayopendekezwa: TSh 320K
Mahitaji ya Soko
Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza
Muda wa Soko
Bidhaa zinazofanana zinauzwa ndani ya ~9 siku
Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza
Maelezo Zaidi
- Period
- per month
- Bedrooms
- 2
- Bathrooms
- 2
- Condition
- Newly Built
- Facilities
- Pre Paid Meter
- Furnishing
- Unfurnished
- Property Type
- Mini Flat
Maelezo
Apartment nzuri ya kisasa inapangishwa apartment hii ina sifa zifuatazo #vyumba 2 vya kulala kimojawapo ni master #sebule kubwa sana #jiko kubwa #luku na mita ya maji dawasa inajitegemea #parking kubwa ya kutosha #garden nzuri bei ni 320k x 3 ilipwe laki 3 na elfu 20 kwa mwezi malipo ya miezi 3 na kuendelea apartment hii ipo mbezi kwa msuguri upande wa kushoto kama unaenda mbezi kutoka morogoro road hadi kwenye nyumba ni km 2 usafiri ni bajaji sh 700 na ukishuka tuu kwenye bajaji unatembea 1 upo kwenye nyumba