
Uchambuzi wa Bei Bei Nzuri Sana
Kulingana na matangazo 1037 yanayofanana
Bidhaa zinazofanana: TSh 80K - TSh 110.0M
Kulingana na matangazo 1037 yanayofanana
Vidokezo vya Mazungumzo
Bei iko chini ya soko
Ofa inayopendekezwa: TSh 200K
Mahitaji ya Soko
Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza
Muda wa Soko
Bidhaa zinazofanana zinauzwa ndani ya ~9 siku
Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza
Maelezo Zaidi
- Pets
- No Pets
- Period
- per month
- Bedrooms
- 1
- Bathrooms
- 1
- Condition
- Fairly Used
- Facilities
- Kitchen Shelf
- Furnishing
- Unfurnished
- Property Type
- Mini Flat
Maelezo
Wahi wahi mapema ndugu mteja beba pesa kabisa utajutia hii nyumba apartment nzuri ya kisasa inapangishwa apartment hii ina sifa zifuatazo #chumba kizuri #sebule #jiko zuri open kitchen #choo kizuri cha ndani kwa ndani #luku na mita ya maji dawasa inajitegemea #parking #iliyowazi ni ya katikati bei ni 200k x 6 ilipwe laki 2 kwa mwezi malipo ya miezi 6 tuu apartment hii ipo kimara temboni upande wa kulia kama unaenda mbezi kutoka morogoro road hadi kwenye nyumba ni dk 6 tuu kwa miguu itakua wazi kuanzia tarehe 13/01/2023 kuona na kulipia ni ruksa kabisa !! no chain hapa (namaliza biashara)