
Uchambuzi wa Bei Bei Nzuri
Kulingana na matangazo 1701 yanayofanana
Bidhaa zinazofanana: TSh 70K - TSh 1500.0M
Kulingana na matangazo 1701 yanayofanana
Mahitaji ya Soko
Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza
Muda wa Soko
Bidhaa zinazofanana zinauzwa ndani ya ~9 siku
Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza
Maelezo Zaidi
- Pets
- Pets Allowed
- Period
- per month
- Bedrooms
- 3
- Bathrooms
- 2
- Condition
- Newly Built
- Facilities
- Tiled Floor
- Furnishing
- Unfurnished
- Property Type
- Mini Flat
Maelezo
Nyumba hii laki 4 kwa mwezi malipo ya miezi 6 tuu nyumba kubwa ya kisasa ya familia inayojitegemea yenyewe kwenye fensi nimeipunguza ilipwe laki 4 kwa mwezi malipo ya miezi nyumba hii ina sifa zifuatazo #vyumba 3 vya kulala kati ya hivyo vyumba 2 ni master bedroom #sebule kubwa #dining #jiko #public toilet #garden #paving #chumba cha kusomea watoto #parking #maji dawasa yanatoka ndani masaa 24 ilipwe laki 4 kwa mwezi malipo ya miezi 6 tuu nyumba hii kubwa ya familia inayojitegemea yenyewe kwenye fensi ipo kimara temboni upande wa kushoto kama unaenda mbezi kutoka morogoro road hadi kwenye nyumba ni km 2 usafiri ni bajaji sh 700