Lete Usalama Nyumbani Na Solar Camera Floodlight 600w - Kinondoni - by Kimago S. - 1

Uchambuzi wa Bei Bei ya Kawaida

Kulingana na matangazo 155 yanayofanana

Bidhaa zinazofanana: TSh 10K - TSh 32.7M

Kulingana na matangazo 155 yanayofanana

Mahitaji ya Soko

Mahitaji Madogo

Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza

Muda wa Soko

Bidhaa zinazofanana zinauzwa ndani ya ~9 siku

Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza

Maelezo Zaidi

Type
CCTV Camera
Brand
PTZ
Usage
Outdoor
Condition
Brand New
Camera Features
Fisheye Camera
Camera Form Factor
PTZ

Maelezo

AI Solar Camera + Lighting 2-in-1 (600W) Taa hii ya solar ya 600W inakupa mwanga mkali na CCTV kamera kwa pamoja. Ni suluhisho bora la kulinda nyumba yako, biashara au shamba bila kulipa bili ya umeme. Faida Unazopata: Usalama wa Nyumba/Ofisi: Kamera inarekodi video na kutuma alarm pale inapogundua mtu. Mwangaza Mkali: 600W floodlight inang’arisha eneo lako usiku kucha bila gharama ya umeme. Usimamizi kwa Simu: Unaweza kuangalia kilichotokea popote ulipo kupitia APP ya simu (Live View). Cloud Storage & SD Card: Hifadhi video zako salama. Infrared Night Vision: Hata gizani unapata picha safi. Bila Waya za Usumbufu: Ni rahisi kufunga, inatumia solar panel. Inafaa Kutumika Nyumbani (nyumba binafsi, apartments) Ofisini au duka Maghala na mashamba Fence na parking area Mashine, gereji au sehemu za biashara Bei ni 248,950