Hotel on Sale - 1
1 / 5

Uchambuzi wa Bei Juu ya Soko

Kulingana na matangazo 56 yanayofanana

Bidhaa zinazofanana: TSh 3.5M - TSh 9200.0M

Kulingana na matangazo 56 yanayofanana

Vidokezo vya Mazungumzo

Bei iko juu ya soko

Ofa inayopendekezwa: TSh 900.0M

Punguzo hadi 55%

Mahitaji ya Soko

Mahitaji Madogo

Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza

Muda wa Soko

Bidhaa zinazofanana zinauzwa ndani ya ~9 siku

Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza

Maelezo Zaidi

Condition
Fairly Used
Furnishing
Furnished
Property Type
Hotel

Maelezo

Hotel nzuri ya kisasa inauzwa ipo kariakoo katikati ya living ston na lumumba. ina floor 5 njia ya lift ipo ila hakumalizia kuifunga. hotel inafanya kazi ina jumla ya vyumba 26 vyote self bei ya room kuna 40,000 na vya juu ni 30,000 chini kuna bar nzuri inafanya kazi. kuna ukumbi . kuna paking kubwa ya magari chini. mmiliki mmoja yuko mikoani tunaongea na moja kwa moja . anauza bil 2 tsh maongezi yapo kidogo.