
Uchambuzi wa Bei Bei Nzuri Sana
Kulingana na matangazo 155 yanayofanana
Bidhaa zinazofanana: TSh 10K - TSh 32.7M
Kulingana na matangazo 155 yanayofanana
Vidokezo vya Mazungumzo
Bei iko chini ya soko
Ofa inayopendekezwa: TSh 80K
Mahitaji ya Soko
Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza
Muda wa Soko
Bidhaa zinazofanana zinauzwa ndani ya ~9 siku
Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza
Maelezo Zaidi
- Type
- CCTV Camera
- Brand
- Hikvision
- Usage
- Indoor/Outdoor
- Condition
- Brand New
- Sensor Type
- Other
- Connectivity
- Wireless
- Camera Features
- Motion Detection
- Camera Form Factor
- Other
Maelezo
HD Wireless IP camera at shs 80000/= (Limited Offer) • •Kwanini uibiwe au ukose amani ya uliemuachia mtoto nyumbani ? •Njia bora yakujua anaeingia na kutoka nyumbani kwako kwa siri ni uwepo wa camera hii bora kabsa. •Ilinde nyumba yako muda wowote sehemu yoyote utapokuwa kwakufatilia kila tukio kiganjani mwako. •Sio kubwa sana kwamba unaeza ukaibandika pia sehemu na ukapata kila tukio kila kitu kiganjani mwako. •Two way communication, unauwezo wakuongea kupitia simu yako na ikaskika kwenye speaker za camera hata ukiwa mbali. •360 view camera •1080p resolution clear view •Unaweza ukaichomeka kwenye powerbank tu na ukapata kila kitu kilichojiri siku nzima. •Haulipii chochote ili kupata access ya online streaming ya camera yako.