
Uchambuzi wa Bei Bei Nzuri Sana
Kulingana na matangazo 644 yanayofanana
Bidhaa zinazofanana: TSh 7K - TSh 200.0M
Kulingana na matangazo 644 yanayofanana
Vidokezo vya Mazungumzo
Bei iko chini ya soko
Ofa inayopendekezwa: TSh 150K
Mahitaji ya Soko
Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza
Muda wa Soko
Bidhaa zinazofanana zinauzwa ndani ya ~9 siku
Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza
Maelezo Zaidi
- Type
- Solar Lights
- Brand
- Alltop
- Condition
- Brand New
Maelezo
Taa hii ya solar ina mwanga mkali sana na inafaa kwa matumizi ya nje kama vile nyumbani, dukani, barazani au njiani. SIFA ZAKE: Ina nguvu ya 1000W LED 180 zenye mwanga mweupe Betri ya lithium inayodumu muda mrefu Panel ya solar 6V 15W Inachaji kwa saa 6 hadi 8 Inawaka saa 12 hadi 15 usiku Inafungwa mita 4 hadi 6 juu Imetengenezwa kwa plastiki imara Unapata warranty ya mwaka 1 NAMNA YA KUPATA: Tunafanya delivery ndani ya Dar es Salaam hadi mtaa ulipo kwa gharama ya mteja Pia tunatuma mikoani Tanzania nzima Bidhaa ni ile ile unayoiona kwenye picha na inawaka kama ilivyoelezwa BEI: Shilingi 150,000 kwa taa moja Usiogope kuagiza, bidhaa ni salama na unapata kile unachotarajia