
Maelezo Zaidi
- Size
- Sample Size
- Type
- Face Serums & Oils
- Brand
- Garnier
- Gender
- Women''s
- Age Range
- 20s+
- Packaging
- Plastic Bottle
- Skin Type
- All Skin Types
- Formulation
- Organic
- Skin Concern
- Whitening
Maelezo
!!ZIPO DUKANI !! Garnier Skinactive 4% AHA BHA and Niacinamide Charcoal Serum, Resurface and Smooth Skin Texture The serum utilises a blend of niacinamide, charcoal and salicylic acid to help decongest the pores and improve the look of the skin tone. Skin feels invigorated with a mattified finish. Hii serum ni maalum kwa zile chunusi zilizoshindikana na inatumiwa na watu wenye ngozi za mafua,my darlings customer’s Hii kitu ni balaa pale linapokuja swala la chunusi Hii serum main ingredients zake ni salicylic na Niacinamide hizi ingridients zinatoa chunusi na pia Niacinamide inasaidia saaaaana kwenye ku brighten ngozi Hi serum ni kiboko saaaana,km umeteseka na chunus,darkspot,ngzi ya mafuta Siri ni hiii kitu new kabisaaa from garnier