
Uchambuzi wa Bei Bei ya Kawaida
Kulingana na matangazo 7 yanayofanana
Bidhaa zinazofanana: TSh 25K - TSh 390K
Kulingana na matangazo 7 yanayofanana
Mahitaji ya Soko
Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza
Muda wa Soko
Bidhaa zinazofanana zinauzwa ndani ya ~9 siku
Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza
Maelezo Zaidi
- Type
- Weight Loss Products
- Brand
- Nature''s Way
- Flavor
- Vanilla
- Gender
- All
- Package
- Paper Box
- Features
- Alcohol Free
- Age Group
- Adult
- Formulation
- Powder
- When to Take
- Before Workout
- Active Ingredients
- Vitamin C (Ascorbic Acid)
- Weight Loss Products Type
- Weight Loss Ready to Drink Shakes
Maelezo
Je? unahitaji kuwa na afya iliyo bora huku ukiendelea kupunguza mwili na kilo. kama ni ndio basi jibu lako ni fatblaster ultimate diet shake pekee kutokea hapa dukani kwetu.faida zake;hutumika kama mbadala wa chakula.inakata appetiteinaongeza metabolismhutumika kucontroll njaaideal for weight losscontroll excess body fat n.kfatblaster meal replacement shake ni njia rahisi itumikayo kupunguza mwili wako huku mwili ukiendelea kupata virutubisho vyote muhimu kama protens,vitamins n.k japo kwa asilimia chache sio kama ambavyo ungeweza kupata kwa kiasi kikubwa pale ambapo ungekula mlo wa kutwa nzima.hivyo fatblaster ni mbadala wa chakula na husaidia sana kupunguza mafuta mwilini,unene na uzito uliokithiri na haina madhara yoyoyote kiafya.uaweza kuitumia mara mbili kwa siku ili kupata matokeo mazuri na kwa haraka