50,000

Uchambuzi wa Bei Bei Nzuri Sana
Kulingana na matangazo 10 yanayofanana
Bidhaa zinazofanana: TSh 20K - TSh 16.0M
Kulingana na matangazo 10 yanayofanana
Vidokezo vya Mazungumzo
Bei iko chini ya soko
Ofa inayopendekezwa: TSh 55K
Mahitaji ya Soko
Muda wa Soko
Bidhaa zinazofanana zinauzwa ndani ya ~3 siku
Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza
Maelezo Zaidi
- Make
- Other Make
- Type
- Other
- Model
- Other Model
- Condition
- Brand New
Maelezo
• Ina tiba ya joto (thermotherapy) na tiba ya sumaku (magnetic therapy), inayopendekezwa na madaktari wa viungo. • Husaidia kupumzika wakati wa safari ndefu au kukaa kwa muda mrefu sehemu moja. • Haitumii chaji; inafanya kazi ikiwa imeunganishwa kwenye chanzo chochote cha umeme. • Inakuja na nyaya mbili za umeme: moja kwa matumizi ya gari na nyingine ya kawaida kwa nyumbani. • Inapatikana Kariakoo, mitaa ya Swahili na Narungombe. • Huduma ya kuletewa (delivery) inapatikana.
Matangazo Yanayofanana
65,000