Double Street Light 2 in 1, 1000W Available Now - Kinondoni - by Kimago S. - 1

Uchambuzi wa Bei Bei Nzuri

Kulingana na matangazo 644 yanayofanana

Bidhaa zinazofanana: TSh 7K - TSh 200.0M

Kulingana na matangazo 644 yanayofanana

Mahitaji ya Soko

Mahitaji Madogo

Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza

Muda wa Soko

Bidhaa zinazofanana zinauzwa ndani ya ~9 siku

Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza

Maelezo Zaidi

Type
Solar Lights
Condition
Brand New

Maelezo

Taa hizi zinatumia nishati ya jua, zina mwanga mkali sana ndani na nje ya ukuta /fance yako. sifa zake: inafanya kazi saa 16 haingi maji wala vumbi,inakuja na rimont, screw kwajili yakufungia ukutani.giza likiingia inawaka yenyewe na asubuhi pakikucha inajizima yenyewe. ina na bomba lake complete ya kufunga ukutani. zina mwanga mkali sana warranty miaka 2. ni taa ilio ungana na panel yake complete. zinafaa kwa matumizi ya nyumbani, viwandani, mashuleni, viwanja,shamba,godown, sehemu ya parking, garden na kumbi mikoani tunatuma