Camera Bora Ya Solar Kwa Shamba Na Gate Yako Kwa 179,999 - Kinondoni - by Kimago S. - 1

Uchambuzi wa Bei Bei Nzuri

Kulingana na matangazo 155 yanayofanana

Bidhaa zinazofanana: TSh 10K - TSh 32.7M

Kulingana na matangazo 155 yanayofanana

Mahitaji ya Soko

Mahitaji Madogo

Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza

Muda wa Soko

Bidhaa zinazofanana zinauzwa ndani ya ~9 siku

Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza

Maelezo Zaidi

Type
CCTV Camera
Brand
PTZ
Usage
Indoor/Outdoor
Condition
Brand New
Camera Features
Adjustable Zoom
Camera Form Factor
PTZ

Maelezo

Smart Solar Security Camera Dual Lens + Sim Card (4G) Bei: 179,999 TZS Camera ya kisasa ya usalama inayo-run kwa solar. No need for electricity or WiFi – inatumia sim card (4G) kuonyesha live video kwenye phone yako. Ina lenzi mbili (dual lens) kwa coverage kubwa, na night vision (IR & color) kwa ulinzi wa 24/7. Ina motion & human detection ikigundua mtu, inatuma notification moja kwa moja. Ni waterproof (IP66), strong, na easy kufunga. No wiring, no electrician needed. Perfect kwa gate, shamba, nyumbani, duka au ofisini. Faida kuu: Hakuna haja ya WiFi au umeme wa TANESCO Sim card 4G inakuunganisha popote ulipo Dual lens: coverage kubwa zaidi Night vision – unaona hata giza likiwa nene Human detection – inakuonya mapema Solar powered – hakuna bili ya umeme Hifadhi video, angalia live, amani ya moyo guaranteed