
Maelezo Zaidi
- Form
- Liquid
- Size
- Sample Size
- Type
- Shampoos
- Brand
- African Pride
- Gender
- Unisex
- Features
- Alcohol Free
- Hair Type
- Normal Hair
- Ingredients
- Aloe Vera
- Hair Concern
- Dandruff
- Styling Effect
- Hair Growth
Maelezo
Manful black color shampoo Ni bidhaa mpya na bora kutoka Manful ilyotengenezwa katika mfumo salama na rafiki kwa ajili ya ndevu pamoja na nywele za kichwani Manful black tofauti na black zingine ambazo zina wingi wa kemikali, zilizotengenezwa kwa matumizi ya nywele za kichwani pindi zitumikapo kwenye ndevu huweza kuzikata kuzikausha na hata kusababishia ngozi madhara. Manful black ambayo Virutubisho vyake vimetokana na mimea asili, ni tofauti na black za kawaida, Manful black inatumika kwa nywele za aina zote yaani nywele za kichwani pamoja na ndevu. Sifa nyingine zaidi za Manful black color ni Inazipatia nywele na ndevu muonekano bora wa kujaa na kung'aa na hufanya hivyo kwa muda wa dakika tano tu. Inatumiwa na watu wa jinsia zote(wanawake/wanaume). Ni rahisi kutumia hivyo hauhitaji mtaalam/saloon/berbershop. Inadumu kwenye nywele mpaka wiki nne Bei nafuu Inapatikana kwenye box lenye pakiti 10 zenye ujazo wa 25ml kila moja,Box lake linapatikana kwa shiling .30000/=