5bdrm House in Mansa Mansa, Kinondoni for Sale - Kinondoni - by Prince P. - 1
1 / 7

Uchambuzi wa Bei Juu ya Soko

Kulingana na matangazo 1992 yanayofanana

Bidhaa zinazofanana: TSh 3.8M - TSh 9100.0M

Kulingana na matangazo 1992 yanayofanana

Vidokezo vya Mazungumzo

Bei iko juu ya soko

Ofa inayopendekezwa: TSh 110.0M

Punguzo hadi 78%

Mahitaji ya Soko

Mahitaji Madogo

Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza

Muda wa Soko

Bidhaa zinazofanana zinauzwa ndani ya ~9 siku

Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza

Maelezo Zaidi

Bedrooms
5
Bathrooms
5
Facilities
24 Hours Electricity
Furnishing
Unfurnished
Parking Space
Yes
Property Type
House

Maelezo

Nyumba kali sanaaa inauzwa Iko mbweni ubungo karibu na usalama Ina vyumba 5 vya kulala vyote self Chini kimoja na juu vipo 4 Nje kuna chumba cha mlinzi kulia ukiingia tu getini Na kushoto kuna kibanda kizuri sana cha kupumzika na wageni kabla hawajaingia nyumba kubwa. Kuna balcony 2 mbele na nyuma kwa juu ya kupumzika. Ina kisima na dawasco Nyumba yooote imefungwa kamera mpaka getini Plot ina ukubwa sqm 1050 Mmiliki ni mmoja Unanunua unakabidhiwa funguo tu. Fensi yoote ina security waya Usalama wa hali ya juu sana. Bei ml 500 maongezi yapo karibu usiogope.