5bdrm House in Bunju, Kinondoni for sale - Kinondoni - by Prince P. - 1
1 / 7

Uchambuzi wa Bei Bei ya Kawaida

Kulingana na matangazo 1221 yanayofanana

Bidhaa zinazofanana: TSh 6.0M - TSh 9100.0M

Kulingana na matangazo 1221 yanayofanana

Mahitaji ya Soko

Mahitaji Madogo

Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza

Muda wa Soko

Bidhaa zinazofanana zinauzwa ndani ya ~9 siku

Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza

Maelezo Zaidi

Toilets
1
Bedrooms
5
Bathrooms
4
Condition
Fairly Used
Furnishing
Unfurnished
Listing by
Agent
Property Type
House

Maelezo

Nyumba kali mno inauzwa bunju a yenye sifa hizo# nyumba kubwa vyumba v3 kulala v2 masters,seble kubwa,dinning,jiko na choo public* pia kuna boy cotter ya ghorofa yenye chumba master na seble juu na chini kuna chumba seble,choo public na jiko la nje# ukubwa wa kiwanja sqm 900* pamepimwa (ulasimishaji)* umbali toka lami bagamoyo road mita 200 tu* bei ml 200 maongezi ya kutosha* karibu hupasuki nimefika site