
Uchambuzi wa Bei Bei Nzuri Sana
Kulingana na matangazo 1221 yanayofanana
Bidhaa zinazofanana: TSh 6.0M - TSh 9100.0M
Kulingana na matangazo 1221 yanayofanana
Vidokezo vya Mazungumzo
Bei iko chini ya soko
Ofa inayopendekezwa: TSh 48.0M
Mahitaji ya Soko
Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza
Muda wa Soko
Bidhaa zinazofanana zinauzwa ndani ya ~9 siku
Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza
Maelezo Zaidi
- Bedrooms
- 4
- Bathrooms
- 3
- Condition
- Fairly Used
- Furnishing
- Unfurnished
- Parking Space
- Yes
- Property Type
- House
Maelezo
Hii nyumba kalli sana ipo mbagala chamanz ina uzwa tsh mil 48 tu nyumba ni nzuri sana kubwa ina vyumba vnne vya kulala vyumba viwili ni master bedroom ina sitting room na daining room na jiko na store ina public toilet ina maji na umeme eneo square meter 400 ina document ya mauziano ya office ya serikali ya mtaa njoo uone tumalize biashara faster mdau wangu nyumba kalli sana kutoka bara bara kuu ya rami kuja kwenye hii nyumba ni dakika 6 tu kwa mwendo wa miguu ukitaji kuiyona nipigie cm au nichek whatsapp