4bdrm House in Kinyerez Kifuru, Kinondoni for Sale - 1
1 / 20

Uchambuzi wa Bei Juu ya Soko

Kulingana na matangazo 1221 yanayofanana

Bidhaa zinazofanana: TSh 6.0M - TSh 9100.0M

Kulingana na matangazo 1221 yanayofanana

Vidokezo vya Mazungumzo

Bei iko juu ya soko

Ofa inayopendekezwa: TSh 120.0M

Punguzo hadi 60%

Mahitaji ya Soko

Mahitaji Madogo

Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza

Muda wa Soko

Bidhaa zinazofanana zinauzwa ndani ya ~9 siku

Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza

Maelezo Zaidi

Bedrooms
4
Bathrooms
2
Condition
Fairly Used
Furnishing
Unfurnished
Parking Space
Yes
Property Type
House

Maelezo

Nyumba kalisana yakisasa iposemu tulivusana nyumba inauzwa ipo tabata kinyerezi kifulu inauzwa milioni 300 maongezi nyumba niandagiraundi nimfano wagorofa nyumba inavyumba 4 masta 2 chini kunachumba kimoja 1 nimasta kunasebule dainingi jiko pabiliki toleti nasto kambele kunakibalikoni Barazani tunapanga Juu kunavyumba 3 masta 1 sebule dainingi pabiliki toleti kunabalikoni mbili moja ipokwenye chumba masta inabalikoni yake nakunabalikoni yakibaraza chjuu nyuma inaitaji marekebisho madogo sana mambo yarangi fensi nageti ukubwa Wakiwanja SQM 800 nyumba inahati miliki kutoka wizarani kutoka lami kilometa 2 uposaiti garama zakupelekwa saiti 20 nicheki karibuni sana ujanja nikuwai nyumba ipo vemasana