
1 / 10
Uchambuzi wa Bei Bei Nzuri
Kulingana na matangazo 529 yanayofanana
Bidhaa zinazofanana: TSh 3.8M - TSh 7500.0M
Kulingana na matangazo 529 yanayofanana
Mahitaji ya Soko
Mahitaji Madogo
Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza
Muda wa Soko
Bidhaa zinazofanana zinauzwa ndani ya ~9 siku
Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza
Maelezo Zaidi
- Bedrooms
- 4
- Bathrooms
- 3
- Condition
- Newly Built
- Furnishing
- Unfurnished
- Parking Space
- Yes
- Property Type
- House
Maelezo
Hii nzuri sana wadau wangu njoo uone nyumba kalli sana mpya kabisa nyumba ipo mbagala chamanz mzambalauni ina uzwa tsh mil 75 tu nyumba ina vyumba vnne vya kulala vyumba viwili ni master bedroom ina sitting room na daining room na jiko na store ina public toilet pamoja na maji na umeme ina fence full gali 4 zina ingia ndani pia ina full fence ulizi wa short kutoka bara bara kuu ya rami kuja kwenye hii nyumba ni dakika 6 tu ukitaji kuiyona nipigie