3bdrm House in Kitunda, Ilala for Sale - 1
1 / 10

Uchambuzi wa Bei Bei Nzuri

Kulingana na matangazo 1221 yanayofanana

Bidhaa zinazofanana: TSh 6.0M - TSh 9100.0M

Kulingana na matangazo 1221 yanayofanana

Mahitaji ya Soko

Mahitaji Madogo

Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza

Muda wa Soko

Bidhaa zinazofanana zinauzwa ndani ya ~9 siku

Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza

Maelezo Zaidi

Bedrooms
3
Bathrooms
2
Condition
Fairly Used
Furnishing
Unfurnished
Parking Space
Yes
Property Type
House

Maelezo

Nyumba inauzwa Ni nzuri mnooo location kitunda magohe SIFA- ya nyumba- vyumba vitatu Kimoja ni master bedroom -sebule kubwa na dinning room -jiko lenye makabat Yake mazuri snaa mafeni vyumba kot FENS- kubwa nzuri imezungushwa nyumba yot Paving blocks nyumba nzima Maji dawasco 24 hours NYUMBA-ipo jilani sana na barabara kuu ya kitunda